Header Ads Widget

Remember you can change the law but you cant change the Rules


                      LIFE IS A RULE


Remember you can change the law but you can't change the RULES.


Remember that spiritual principles govern this physical life.


if you don't know that rule and if you don't follow that rule it will rule you and touch your life.


a) Make an effort to learn Spiritual principles and principles of life. 


    The Bible is a book of spiritual principles


b) Make an effort to live according to the rules


       AN EXAMPLE OF THE PRINCIPLES

✍️1. Alms giving

    This is a rule if you follow it or not, the results will only be seen in your life.

Those who know this principle will see that they make an effort to follow this principle.         If you see people giving alms in hell, one person gives himself to build a mosque by himself, someone gives his mother as alms. they KNOW THE RULES, they put in the effort because they see the results.

     You who are saved, do you know this principle of Offaring? Are you working on this principle?

✍️2. To RESPECT PARENTS

This is a very powerful principle.

Do you want to live many years on earth? Follow this rule.

to respect your pastor, to respect your spiritual father 

     but YOU DISREGARD YOUR FATHER AND YOUR BIRTH MOTHER is hypocrisy.

       YOUR SHEPHERD, YOUR SPIRITUAL FATHER SHOULD BE RESPECTED BUT NEVER FORGET YOUR BIRTH FATHER AND MOTHER.

     Tips by 

        Mwalimu Montana S. Mpeleta from Mwanza +255763144769

     

                In swahili language

     

                 MAISHA NI KANUNI


Kumbuka unaweza kubadilisha sheria lakini huwezi kubadilisha KANUNI.


    Kumbuka kanuni za kiroho ndizo zinatawala maisha haya ya kimwili.


   Hatakama huijui hiyo kanuni na hatakama huifuati hiyo kanuni itakutawala na kugusa maisha yako.


a)Weka bidii kujifunza kanuni za Kiroho na kanuni za maisha. 


Biblia ni kitabu cha kanuni za kiroho


b)Weka bidii ya kuishi kwa kanuni


MFANO WA KANUNI

✍️1.UTOAJI WA SADAKA.

Hii ni kanuni ukiifuata au usipoifuata matokeo yataonekana tu kwenye maisha yako.

Wanao ijua kanuni hii utaona wanaweka juhudi kuifuata kanuni hii.

 Ukiona watu wanatoa sadaka kuzimu, mtu mmoja anajitoa kujenga msikiti peke yake, mtu anatoa mama yake kama sadaka. Wanaijua kanuni wanaweka juhudi kwasababu wanaona matokeo.

Wewe uliye okoka unaijua hii kanuni ya sadaka? Unaifanyia kazi hii kanuni?

✍️2.KUWAHESHIMU WAZAZI WAKO.

Hii ni kanuni very powerful.

Unataka kuishi miaka mingi duniani na kufanikiwa? Fuata hii kanuni .

Kumuheshimu mchungaji wako, kumuheshimu baba yako wa kiroho 

     lakini unawadharau baba na mama yako waliokuzaa huo ni unafiki .


       MCHUNGAJI WAKO, BABA YAKO WA KIROHO WANATAKIWA KUHESHIMIWA LAKINI KAMWE USIJE KUWASAHAU BABA NA MAMA YAKO WALIO KUZAA.

Post a Comment

0 Comments