✍🏻Ikiwa leo ni siku ya maadhimisho ya kinywa na meno leo kwa uchache tuongazie eneo la meno na kinywa kwa ujumla
✍🏻Kadri siku zinavyokwenda idadi ya watu kung'oa meno na kupata changamoto za kinywa ikiwemo fizi kutoa damu, kufa ganzi meno na hata wakati mwingine kinywa kutoa harufu isiyovumilika inazidi kuongezeka kila iitwapo leo
✍🏻Tafiti kadhaa zimetoa taarifa kua changamoto ya meno kutoboka kwa sasa inawakumba mpaka watoto wadogo na kulazimika kwenda kung'oa meno katika umri huo mdogo.
🤔JE NI NINI SABABU YA MATATIZO YA MENO KUONGEZEKA NA SULUHISHO LAKE NI LIPI?
✍🏻Chanzo kikubwa cha meno kushambuliwa ama kinywa kushambuliwa ni mfumo wa maisha tuliyo nayo kwa sasa, watu hawazingatii kabisa Afya ya kinywa na wale wanaodhani wanazingatia wanatumia dawa zisizo sahihi kusafisha kinywa
✍🏻wapo ambao kuharibika kwao kwa meno kumesababishwa na mabaki ya vyakula yasiyotolewa kwa wakati na kwa usahihi, ulaji wa vyakula usiozingatia Afya ya kinywa na kisha mabaki kubaki hupelekea bacteria wanaoshambulia fizi na kutoboa meno kuzaliana kwa kasi zaidi.
✍🏻Lakini pia wapo wanaoteseka na meno kwa sababu ya matumizi ya dawa za meno, yaani kabla hajaanza kutumia dawa za meno katika kusafisha kinywa alikua salama lakini baada ya kuanza kutumia meno yakaanza kufa ganzi ama kuuma na hatimae kujikuta anangoa meno kila iitwapo leo.
✍🏻Si kila dawa ya meno inafaa kwa matumizi ya kinywa chako kuna dawa ambazo hazitakiwi kabisa kugusa fizi zako za meno na endapo zitagusa basi zinaweza sababisha madhara makubwa katika meno.
✍🏻Utunzaji wa miswaki na matumizi ya muda mrefu mswaki mmoja ni hatari kwa kinywa chako na watu wengi hutumia mswaki mmoja kwa miaka kadhaa mpaka mswaki unakosa mwelekeo hili ni tatizo kubwa sana kwa jamii.
✍🏻Wazee zama zile hakukua na dawa za meno lakini waliweza kudumu na meno yao mpaka uzeeni pasipo kungo'a kwa sababu walizingatia sana usafi wa kinywa kuliko kitu kingine.
💼JINSI WALIVYO JALI KINYWA WAZEE WETU.
✍🏻Kila siku siku walitumia mswaki mpya katika kusafisha meno yao na miswaki yao ilitengenezwa kwa kutumia miti na inatafunwa kwa meno mpaka unakua mswaki utao weza kuondoa mabaki yote yasiyo hitajika katik kinywa.
✍🏻Kitendo tu cha kutafuna vijiti vile kilikua kinatengeneza mambo yafuatayo
🥇Ilikua inaimarisha meno katika kutafuna na kufanya meno kushikana ipasavyo
🥈Yale maji ya mti husika yalikua yakiondoa uwezekano wa bacteria kuzaliana ndani ya kinywa.
🥉Mti ule uliweza kutafunwa kwa meno ya nyuma ambayo ndio hushambuliwa zaidi na wadudu hivyo kupitia kutafuna mti ule na kutema maji yake walikua wakiondoa mabaki ya vyakula na uchafu katika meno ya nyuma ambayo ndio hua chanzo cha bacteria kuzaliwa.
✍🏻Watu kale kila kilichoingia mdomoni walihakikisha hakibaki katika kinywa hivyo walifanya usafi wa kinywa zaidi ya mara tatu kwa siku, mtu alikua akimaliza kula ni lazima atie maji katika kinywa na kusukutua ipasavyo na kisha anatema maji yale kwa nguvu zoezi hilo walilifanya mara tatu mara baada ya kumaliza kula na ndipo ana kunywa maji. Hii ilikua tiba tosha ya usafi wa kinywa.
📶KWANINI KIZAZI HIKI MENO NA KINYWA NI TATIZO ZAIDI ?
✍🏻Tunatumia miswaki laini zaidi isiyoweza toa mabaki ya vyakula katika kinywa na bado utunzaji wa mswaki huo si salama.
✍🏻Watu wanaswaki asubuhi tu wanapoamka lakini wanashinda wanakula vyakula vingi vyenye bacteria na chemikali za kutosha na kisha zinabaki katika kinywa bila kuondolewa
✍🏻Matumizi ya dawa za meno zenye kemikali zisizo na msaada wa meno nazo zinatumiwa vibaya na watu badala ya kusugua meno wanasugua kuta za fizi zinazoshikilia meno ni hatari kubwa sana kubomoa ulinzi wa meno.
✍🏻Kufa kwa baadhi ya seli katika mwili na kupungukiwa kinga za mwili hupelekea mashambulizi ya meno kua makali zaidi.
✍🏻Kung'oa jino na kuendelea na maisha yale yale yasiyo na badiliko la usafi wa kinywa hupelekea kuendelea kushambuliwa kwa kinywa maana wadudu waharibifu hawafi kwa kung'oa jino.
⛺NINI KIFANYIKE SASA ILI KUONDOA TATIZO LA KINYWA NA MENO?
✍🏻Zingatia sana usafi wa kinywa kwa kufuata maelekezo yaliofanyiwa tafit kwa kina toka FUKANG HEALTH CARE ama piga simu 0762256142 upatiwe ushauri bure kabisa.
✍🏻Acha kutumia miswaki isiyo rafiki kwa kinywa na usitumie kila dawa ya meno inayo uzwa tunakushauri tumia dawa sahihi itakayo kupa Afya ya kinywa na meno yako.
✍🏻Na ikiwa una meno yaliyo toboka ama unasumbuliwa na fizi kutoa damu, meno kuuma na hata kufa ganzi kwa meno tafadhali wasiliana nasi kwa whats app namba +255762256142 tutakuhudumia na utasahau kabisa tatizo la Meno katika maisha yako.
🙏🏻JALI AFYA YAKO YA KINYWA KAMA UNAVYOJALI VINGINE , EPUKA FEDHEHA NA MAUMIVU YASOYO HITAJIKA KATIKA KINYWA KWA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI.
0 Comments