Header Ads Widget

Dental deseases, types, causes, sypmtoms&treatment.

 Problems or diseases related to teeth, almost all dental problems occur after bacteria and other insects are present in the mouth, this makes a person have severe pain in the teeth and until it leads to bleeding or bad breath and affects the teeth. 

Many dental problems are preventable and treatable.In many places, many people have dental problems, but they differ.

 Some have minor problems, others also have serious problems. We advise people to have a habit of examining their teeth to protect themselves from dental problems. 

Treat the problem early so that the problem does not developget damaged and a person can become a complete idiot in the near future.

         TYPES OF DENTAL DISEASES


⛺The mouth has many diseases, but the teeth are the biggest problem and can cause other problems, 

        the types of diseases are like;


✍🏻 Teeth breaking 

This is a problem that occurs in the teeth due to the presence of bacteria in the teeth and destroys the teeth, the bacteria can be due to the presence of food residues, especially those with a lot of sugar. If the residue is not removed, the bacteria produce acid that destroys the teeth and creates cavities.


✍🏻Teeth broken

    This is a problem that happens to people when they see their teeth, there are some pieces that are not visible, the tooth can be half or three quarters, often this is not a dangerous problem, it does not have serious consequences because it does not affect the gums, but it can deprive a person of the freedom to laugh and also when the tongue touches it, it feels like it isa pointed object.


✍🏻 Teeth grinding or decreasing in height 

   This problem occurs when you are sleeping, even during the day when you have thoughts, anger or emotions where the teeth touch and grind together. teeth can decrease in height and this happens over a long period of time, teeth grinding and decreasing in height causes tooth pain and discoloration.


✍🏻Gum problem 

    This is a problem in the gums where there is pain, such as sores or bleeding, swelling or dirt. it is often caused by bacteria that are in the leftover food, if you don't remove the bacteria they start to invade the gums and destroy them. A person with this problem produces a bad smell.


  ✍🏻Teeth decay, gums loosen and loosen 

This problem is when the teeth look abnormal; that is, they become discolored, the gums deteriorate, the gums shrink, the gums bleed and the teeth become loose. This is a problem that can be serious and incurable if left untreated


✍🏻Teeth numb and unable to feel.

This problem is found by many in very cold or very hot environments, also eating some foods with yeast, sugar and others. 

     This problem is a symptom of tooth decay inside or outside.

  

✍🏻Bad smell and bad breath 

This problem occurs when a person emits a bad smell in the mouth which affects many people, this happens when there are food residues in the mouth, not cleaning the teeth and mouth as well, having a problem with the teeth or mouth.


✍🏻Swelling or membrane in the mouth 

This is a problem in which the mouth has an inexplicable whiteness like mucus, it often happens to people who do not have a strong immune system, especially those with health problems such as diabetes, AIDS, Cancer, Asthma, this condition is eliminated by medication.


✍🏻Teeth are yellow, brown or brown.

This problem has been seen to occupy some areas, where a large number of people have been seen with matching colored teeth. This is because the food and drinking water available in those areas have an abundance of certain types of minerals, especially Fluoride.


SOURCE OF DENTAL DISEASES


the source of dental diseases in a large percentage are the lifestyles we live, meaning hygiene, eating, the environment and various habits 

  Things that can cause you to get dental problems are the following,


Do not clean the mouth and teeth

Indiscriminate consumption of foods rich in fat and sugar, using toothpaste with many chemicals, rinsing with water after brushing,

  Not getting treatment for diabetes and heart disease

     Smoking

Having diseases that reduce immunity, including AIDS

changes in some hormones

Age

     The use of drugs with a lot of chemicals destroys the system of digestive fluids.

     History of dental diseases in the family

Environment.


   SYMPTOMS OF A PERSON WITH DENTAL PROBLEM


Often the symptoms are self-evident, many know that they already have a problem and often tests are not needed, more tests are needed to find out the source, the symptoms are like


Teeth ache when eating or when cold or hot

Bleeding from the gums

The teeth begin to loosen and leave the gums

bad breath, this indicates there is a problem

Teeth change color such as black, yellow, brown and other unusual colors

Gums become red like blood if there are ulcers

The mouth becomes dry

Teeth numb

Teeth chattering or shaking


    HOW TO AVOID DENTAL DISEASES


Remove food residue by rinsing your mouth with water after eating. Drink plenty of water 30 minutes after eating.

Brush your teeth even twice a day

     Reduce thoughts, thoughts lead to teeth problems,

      Do not smoke

Reduce or completely stop drinking alcohol,

Eat good food, especially natural foods and not foods with chemicals, foods with a lot of fat and a lot of sugar.


  TREATMENT OF DENTAL PROBLEMS


dental problems are treated according to the duration of the problem, often patients have been underestimating the symptoms of dental problems and assuming that there are no serious consequences.

      And so you find that the problem has become chronic, Now there is a very good way to completely eliminate the dental problem 

Many people do not know this medicine.

But it is the only chemical-free medicine that has the ability to treat teeth and make your mouth return to your normal state. 

This medicine has the power to penetrate the pierced teeth and create a wall that will make the insects die and stop attacking, also when you start using this medicine. like if you had a problem with numbness, bleeding in the gums, lack of immunity, then this medicine restores the strength of your teeth and completely relieves the pain in your mouth.

This drug treats for a period of time according to the duration of the problem, 

the problem does not come back because it removes the source along with the disease, it does not relieve the pain but removes it completely, if you start using it within a week, it starts to treat and shows changes, also the patient is given a lifestyle that he should usebecause there is a lifestyle that continues to increase the problem, there is also a lifestyle that reduces the risk of disease.


     Call +255762256142 to get medicine and personal advice

       

                            In swahili


MAGONJWA YA MENO – Aina, Chanzo, Dalili & Tiba



Matatizo ya meno ni shida au magonjwa yanayohusiana na meno, karibia matatizo yote ya meno yanatokea baada ya bakteria na wadudu wengine kuwepo mdomoni, hii hufanya mtu kuwa na maumivu makali kwenye meno na mpaka kupelekea kutoa damu au halufu mbaya na kuathiri meno. Matatizo mengi ya meno yanazuirika na hutibika.


Katika maeneo mengi watu wengi wanatatizo la meno ila wanatofautiana wengine wanatatizo dogo wengine pia wanatatizo kubwa, tunawashauri watu wawe na tabia ya kuchunguza meno yao ili kujilinda na matatizo ya meno, tibu tatizo mapema ili usikuze tatizo, usipotibu tatizo basi meno huendelea kuharibibika na mtu anaweza kuwa kibogoyo kabisa siku za usoni.


AINA ZA MAGONJWA YA MENO


⛺Mdomo una magonjwa mengi ila meno ndio tatizo kubwa sana na ndio linaweza kuleta na matatizo mengine, aina za magonjwa ni kama;


✍🏻Meno kutoboka 

     Hili ni tatizo linalotokea kwenye meno kwa kuwepo kwa bakteria kwenye meno na kuharibu meno, bakteria hao wanaweza kutokana na kuwepo kwa mabaki ya vyakula hasa vyenye sukari nyingi. Mabaki yasipoondolewa bakteria huzalisha acidi ambayo ndio huharibu meno na kutengeneza vijitobo.


✍🏻Meno kuvunjika 

      Hili ni tatizo ambalo huwatokea watu wakionekana meno yao kuna baadhi na vipande kutoonekana, jino laweza kuwa nusu au robo tatu, mara nyingi hili sio tatizo hatari halina madhara makubwa kwakuwa haliathiri fizi ila linaweza kumnyima mtu uhuru wa kucheka na pia ulimi ukigusa unahisi kama ni kitu chenye ncha.


✍🏻Meno kusagika au kupungua kimo 

   Hili tatizo hutokea ukiwa umelala, hata mchana ukiwa na mawazo, hasira au hisia ambapo meno hugusana na kusagana. Meno huweza kupungua kimo na kuisha hii hutokea kwa mda mrefu kidogo, meno yakisagika na kupunguwa kimo husababisha maumivu ya meno na kubadilika rangi.


✍🏻Tatizo la fizi 

    Hili ni tatizo katika fizi kuna kuwa na maumivu, kama vidonda au kutokwa damu, kuwa na usaa au uchafu. Mara nyingi hutokana na bakteria wanaokuwa kwenye mabaki ya chakula usipoyaondoa bakteria wanaanza kuvamia fizi na kuziharibu. Mtu mwenye hili tatizo hutoa harufu mbaya.


  ✍🏻Meno kuharibika, fizi kuachia na kulegea 

    Hili tatizo ni pale meno yanapoonekana sio ya kawaida; yaani yanakuwa yamebadilika rangi, fizi kuharibika, fizi kupungua, fizi kutoka damu na meno kulegea. Hili ni tatizo ambalo laweza kuwa kubwa na kutotibika usipowahi tiba


✍🏻Meno kufa ganzi na kushindwa kuhisi.

    Hili  tatizo huwakuta wengi katika mazingira ya baridi sana au joto sana, pia wakila baadhi ya vyakula vyenye uchachu, vyenye sukari na vingine. 

     Tatizo hili ni dalili za kuharibika kwa jino ndani au nje.

  ✍🏻Harufu mbaya na kupumua vibaya 

     Hili tatizo hutokea kwa mtu kutoa harufu mbaya mdomoni ambayo huwakela watu wengi, hii hutokea pale anavyokuwa na mabaki ya vyakula kwenye mdomo, kutofanyia usafi meno na mdomo pia, kuwa na tatizo la meno au mdomo.

✍🏻Mhozo au Utando mdomoni 

   Hili ni tatizo ambalo mdomoni huwa na weupeweupe usioeleweka kama ute, mara nyingi huwatokea watu wasio na kinga imara hasa wenye matatizo ya kiafya kama kisukari, UKIMWI, Kansa (Saratani), Asthma hii hali huondolewa na dawa.

✍🏻Meno kuwa na rangi ya njano, kaki au kahawia.

   Hili tatizo limeonekana kuchukua baadhi ya maeneo, ambapo idadi kubwa ya watu wameonekana wakiwa na meno yenye rangi inayoendana. Hii ni kwasababu ya vyakula na maji ya kunywa yanayopatikana maeneo hayo kuwa na uwingi wa aina flani ya madini hasa Fluoride.


CHANZO CHA MAGONJWA YA MENO


Chanzo cha magonjwa ya meno kwa asilimia kubwa ni mitindo ya maisha tunayoishi tukimaanisha usafi, ulaji, mazingira na tabia mbalimbali 

  Mambo yanayoweza kukusababishia kupata matatizo ya meno ni haya yafuatayo


Kuto kusafisha mdomo pamoja na meno

 Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi,kutumia dawa za meno zilizo na kemikali nyingi,Kusukutua kwa maji baada ya kupiga mswaki,

  Kuto kupata tiba ya kisukari na ugonjwa wa moyo

     Kuvuta sigara

Kuwa na magonjwa yanayopunguza kinga ikiwemo na UKIMWI

Kubadilika kwa baadhi ya homoni

Umri

     Utumiaji wa madawa yenye kemikali nyingi huharibu mfumo wa vimiminika vinavyofanya mmeng’enyo.

     Historia magonjwa yanayoambatana na meno katika familia

Mazingira.


   DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO LA MENO


   Mara nyingi dalili hujionesha wazi wengi hujijua kuwa tayari wanatatizo na mara nyingi huwa haiitajiki vipimo, zaidi huhitajika uchunguzi kujua chanzo, dalili zake ni kama


Meno kuuma wakati wa kula au mda wa baridi au joto

Kutokwa na damu kwenye fizi

Meno kuanza kulegea na kuachana na fizi

Kutoa harufu mbaya mdomoni, hii huonesha kuna tatizo

Meno kubadirika rangi mfano nyeusi, njano, kahawia na rangi zingine zisizo za kawaida

Fizi huwa nyekundu kama damu ikiwezekana kuna na vidonda

Mdomo kuwa mkavu

Meno kufa ganzi

Meno kuchomoka au kutikisika


    JINSI YA KUEPUKA MAGONJWA YA MENO


     Ondoa mabaki ya chakula kwa kusukutua mdomoni na maji baada ya kutoka kula pia Kunywa maji mengi dakika 30 baada ya chakula

Safisha meno yako hata mara mbili kwa siku

     Punguza mawazo,mawazo hupelekea meno kupata shida,

      Usivute sigara

Punguza au acha kabisa  kunywa pombe,

    Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali, vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi.


  TIBA YA MATATIZO YA MENO


Matatizo ya meno yanatibika  kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakidharau  dalili za tatizo la meno na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

      Na hivyo hujikuta tatizo limekua sugu, Sasa kuna njia nzuri sana ya kuondoa kabisa tatizo la meno 

          Watu wengi hawaijui dawa hii 

 ila ndio dawa pekee isiyo na kemikali ina uwezo wa kutibu meno na kukifanya kinywa chako kirudi katika hali yako ya kawaida,Dawa hii ina nguvu ya kupenya katika meno yaliyo tobolewa na kutengeneza ukuta utakao fanya wale wadudu kufa na kuacha kushambulia,Pia utakapoanza kuitumia dawa hii kama ulikua una tatizo la kufa ganzi,kutokwa damu katika fizi,upungukufu wa kinga basi hii dawa inarudisha nguvu yako ya meno na kukuondolea kabisa maumivu katika kinywa.

       Dawa hii hutibu kwa mda  kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kutuliza maumivu bali huondoa kabisa,  ukianza tu kutumia ndani ya wiki moja huanza kutibu na  huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.


         Piga +255762256142 kupata dawa na ushauri binafsi

             Toa  maoni yako kuhusu chapisho hili.

Post a Comment

0 Comments