Header Ads Widget

What is Prostate gland?

 

PROSTATE GLAND A CHRONIC PROBLEM FOR MEN


- This is a male gland with the following characteristics.

~ It is shaped like an egg (oval shape)

~ It has these measurements, width 4cm and thickness 3cm, although these measurements differ for each man.

~ This gland is located around the neck of the bladder and around the tube that carries urine out (urethra)

~ This gland is normal in size but increases in size with age.

~ This gland produces the fertile fluid of sperm (semen)


MAIN PARTS OF THE MEN'S GLAND


1.PERIPHERAL ZONE

~ This is the outer part of the gland that many doctors use this gland to determine if there is a problem with the gland because it is easy to touch when a doctor inserts the index finger into the rectum. the growth of this part cannot affect the flow of urine.


2. TRANSITIONAL ZONE (CENTRAL PART)~ This is the part of the gland that grows, that is, if it increases in size, we call it BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH). Because it is the part of the gland that is closest to the urinary tract. Often, if this part grows, it is the one that causes problems with urination (obstructive symptoms). This gland can also be identified by a doctor using a finger, this method is called DIGITAL RECTAL EXAMINATION (DRE).

this is because when it grows, it pushes the peripheral zone towards the anus. So the doctor can determine whether the gland has grown or not.

3. CENTRAL ZONE

~ This part is in front of the transitional zone, so the tumor in this part is difficult to determine through this quick test using a finger, so we use image tools called CYTOSCOPY. this is an image test that looks at the urethra and urinary tract and gives answers in the form of pictures or videos.


DEVELOPMENT OF THE MALE GLAND

~Growth of the male gland is called BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH). this problem often starts after about 40 years and the symptoms show themselves in old age. So the gland can be very large but it has no symptoms. This is due to which part of the gland is swollen or enlarged. When the thyroid shows symptoms, know that the problem is chronic and is in a bad condition.


SYMPTOMS OF Swollen Gland

1. Frequent urination

2. Retention of urine in the bladder

3. Urinating a lot at night

4. Pain during urination

5. Impotence

6. Recurrent UTI

7. Bladder stones due to accumulation of urine.

8. Kidneys full of water. this is because the urine goes back to the kidney (hydronephrosis)

9. Loss of consciousness (uremia)


I HAVE MENTIONED THESE SYMPTOMS ACCORDING TO THE PROBLEM THAT IS CHRONIC FOR THE PATIENT, THEREFORE THIS DISEASE IS A DANGER THAT DOESN'T EXIST.


HOW TO DETERMINE GLAND INFLAMMATION

~Remember BPH is not cancer, it is just a normal tumor of the gland, but remember that this gland can also be inflamed due to prostate cancer.

1. A normal test using a finger through the anus to check if the gland has a problem. This test is called DIGITAL RECTAL EXAMINATION. after the test, the doctor writes down what he has touched, whether it is a disease or normal.

2. This is a test to take pictures of the urinary bladder called CYTOSCOPE. Remember this test you have to insert a wire with a flashlight in front of the urinary tract while the wire is attached to the screen. so the wire you want to connect will appear on the screen. The disadvantage of this test is that it can hurt the walls of the urinary tract and after two weeks the path can be blocked when the wound heals. But it is a very good measure.

3. Another test is called RECTAL UTRASOUND, this is a test to take pictures through the rectum and produce pictures on a hard magazine to help the doctor read.

4test to distinguish between normal tumors (BPH) and blind cancer (PROSTATE CANCER) This test is called PROSTATIC SPECIFIC ANTIGEN. This is a protein that is released in abundance in case of prostate cancer. so the patient's blood will be taken and tested to see if it is too much in the blood. If this protein is present normally, then the swelling is not cancer, it is BPH. But if the level is high, the tumor is CANCER. so further investigation is needed, such as taking a sample from the gland and sending it to the hospital.


TREATMENT OF PROSTATIC GLANDS


1. If the prostate does not have any symptoms, it is often not treated in the hospital, but drugs to reduce the speed can be given to the patient.



NB: THE CORRECT TREATMENT OF THE PROSTATE IS TREATMENT AND THE SOURCE OF THE PROBLEM IS NOT COOLING DRUGS OR OPERATION, IF THE PROBLEM REMAINS FOR A LONG TIME THIS LARGE AND THE TREATMENT WILL BE JUST AS GREAT.


FOR ADVICE AND TREATMENT


          CALL/WHATSAPP

                 0762256142



                ( In swahili language)

   IFAHAMU TEZI DUME


    PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME


-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.

~Ina umbo kama yai(oval shape)

~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana 4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo vinatofautiana kwa kila mwanaume.

~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija unaopeleka mkojo nje(urethra)

~Tezi hii hua yenye ukubwa wa kawaida lakini huongezeka ukubwa kadri ya umri.

~Tezi hii hutengeneza majimaji yenye rutuba ya mbegu za kiume(shahawa)


SEHEMU KUU ZA TEZI YA KIUME


1.PERIPHERAL ZONE(SEHEMU YA NJE)

~Hii ni sehemu ya nje ya tezi ambayo madakari wengi hutumia hii tezi kubaina kama kuna tatizo kwenye tezi kwani ni virahisi kiugusa kama daktari akiingiza ikiingiza index fingure(kidole cha kusontea) kwenye njia ya haja kubwa. Kukua kwa sehemu hii hakuwezi kuathiri utokaji wa mkojo.


2. TRANSITIONAL ZONE(SEHEMU YA KATI)

~ Hii ni sehemu ya tezi ambayo ikikua yani ikiongezeka ukubwa tunasema KUVIMBA KWA TEZI DUME kitalamu BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH) kuna uwezekano mkubwa wa tezi dume iliyovimba kuzuia njia ya mkojo kupita. Kwani ndio sehemu ya tezi iliyo karibu kabisa na njia ya mkojo. Mara nyingi hii sehemu ikikua ndio inayo sababisha matatizo ya kukojoa(obstructive symptoms). Tezi hii pia daktari anaweza kuibaini kwa kutumia kidole kipomo hiki huitwa DIGITAL RECTAL EXAMINATION(DRE)

hii ni kwa sababu ikikua inasukuma ile sehemu ya pembezoni yani peripheral zone kuelekea njia ya haja kubwa. Hivyo dakatri anaweza kubaini km tezi imekua au laa.

3. CENTRAL ZONE(SEHEMU YA KATI)

~Hii sehemu iko mbele ya transitional zone hivyo uvimbe katika sehemu hii ni vigumu kubaini kipitia kipimo hiki cha haraka cha kutumia kidole hivyo tunatumia vipomo vya picha kinaitwa CYTOSCOPY. Hiki ni kipimo cha picha kinacho angalia kipofu cha mkojo na njia ya mkojo na kutoa majibu katika mfumo ya picha au video.


KUKUA KWA TEZI YA KIUME

~Kukua kwa tezi ya kiume kitalamu tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH). Hili tatizo mara nyingi huanza baada ya miaka 40 hivi na dalili huja kujionesha uzeeni. Hivyo tezi inaweza ikawa kubwa sana lakini haina dalili hii ni kutokana na sehemu gani ya tezi iliyovimba au kuongezeka. Tezi inapoonesha dalili jua tatizo hilo ni sugu na liko ktk hali mbaya.


DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI

1. Kukojoa mara kwa mara

2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu

3. Kukujoa sana usiku

4. Maumivu wakati wa kukojoa

5.Kupungukiwa nguvu za kiume

6. UTI ya mara kwa mara

7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.

8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo(hydronephrosis)

9. Kupoteza fahamu(uremia)

HIZI DALILI NIMEZITAJA KULINGANA NA TATIZO LINAVYOKUWA SUGU KWA MGONJWA HIVYO UGONJWA HUU NI HATARI USIPO WAHI.


JINSI YA KUBAINI KUVIMBA KWA TEZI

~Kumbuka BPH sio kansa ni uvimbe tu wa kawaida wa tezi lkn kumbuka tezi hii inaweza kuvimba pia kutokana na kansa ya tezi dume (prostate cancer)

1. Uchunguzi wa kawaida kwa kutumia kidole kupitia njia ya haja kubwa kuangalia kama tezi ina tatizo. Kipimo hiki huitwa DIGITAL RECTAL EXAMINATION. Baada ya kipimo hicho daktari huandika alicho kigusa kama ni ugonjwa au iko kawaida.

2. Hiki ni kipimo cha kupiga picha kibofu cha mkojo kinaitwa CYTOSCOPE. Kumbuka kipimo hiki una ingiziwa waya flani wenye tochi mbele kwenye njia ya mkojo huku huo waya umeunga nishwa kwenye screen. Hivyo  huo waya utakacho murika kitaonekana kwenye screen. Ubaya wa hiki kipimo ni kwamba kinaweza kuumiza kuta za njia ya mkojo na baada ya wiki mbili njia inaweza kuziba mbili jeraha linapo pona. Ila ni kipimo kizuri sana.

3. Kipimo kingine kinaitwa RECTAL UTRASOUND hiki ni kipimo cha kupiga picha kupitia njia ya haja kubwa (rectal) na kutoa picha kwenye jarida gumu kumsaidia daktari kusoma.

4. Kipimo cha kutofautisha kati ya uvimbe wa kawaida(BPH) na kansa ya kipofu(PROSTATE CANCER) Kipimo hiki kinaitwa PROSTATIC SPECIFIC ANTIGEN. Hii ni protein inatolea kwa wingi endapo kuna kansa ya tezi dume. Hivyo damu ya mgonjwa itachukuliwa na kupekwa maabala kuchunguza kama ni nyingi kupita kiasi kwenye damu. Kama hii protein ipo kawaida basi uvimbe huo sio kansa ni BPH. Lakini kama kiwango ni kingi uvimbe huo ni KANSA. Hivyo uchunguzi zaidi unahitajika kama kuchukua sample ya kinyama kutoka katika tezi na kupeleka maabala.


MATIBABU YA KUKUA KWA TEZI DUME


1. Tezi dume kama haina dalili zozote mara nyingi waga haishighulikiwi sana hospitali lakini dawa za kupunguza kasi anaweza pewa mgonjwa.



NB: MATIBABU SAHIHI YA TEZI DUME NI KUDILI NA CHANZO CHA TATIZO SIO DAWA ZA KUPOZA WALA OPERATION, ENDAPO TATIZO LINAKAA KWA MUDA MREFU BILA TIBA HUSABABISHA TATIZO KUBWA NA GHARAMA KUBWA.


KWA USHAURI NA TIBA


CALL/WHATSAPP

0762256142

Post a Comment

0 Comments